binafsi ningesoma nijue kutengeneza hela๐Ungepewa nafasi ya kusoma ngazi ya elimu inayofata katika elimu yako ungesoma nini na kwa nini?
Mpaka kesho nataka kusomea urubani ila ndo ivo tena ๐๐Ungepewa nafasi ya kusoma ngazi ya elimu inayofata katika elimu yako ungesoma nini na kwa nini?