Hapa ukweli nikiiona hii nawaza mbali sana . Hivyo First lady unaweza elezea kwanini uliamua kuweka hii
Mkuu Zipuwawa ukweli umeipenda sana ndo maana inakukumbusha mbali, hivyo ni kuendelea kuifurahia badala ya kutaka kujua ameipata wapi inaweza kuondoa radha ya raha tunayopata, ila wape changamoto kina dada wengine kupata picha nzuri kama yake, teh teh.
Kweli ni nzuri ila Halafu ni ya kawaida kabisaaa