The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
mimi napenda kusoma pia jamii intelligensi... mkuuSawa tuendelee kusali Rozali mkuu mwezi wa maombi huu
hivi ni kweli JKT mwezi wa kwanza huwa hawalali?Kulala…
Ushindweeeeee!Sawa, vitu vya kusafisha damu tutazidi ongeza ili huduma iwafikie popote mlipo
hakuna!!! hawezi kusema namna hiyo!Ushindweeeeee!
😅😅😅 ndio maana nakupenda pia😅Mimi zaidi ☺️
😅😅😅 ndio maana nakupenda pia😅
Sijaelewa 🤔😅😅
Utaelewa tuSijaelewa 🤔😅😅
Nimelewa, hebu niache mjukuu.Kusema ukweli ntasafiri kuelekea kindi na baadaye rombo mkuu kwa kina secretarybird tukila mbuzi choma na mbeke...... Shamesha kindege mdinya 😂
Ni kiasi kidogo sana hicho kula keupe mkuuHahaha kabisa nimechoka ,nimeshatengeneza hela kwa nini nisile pombe hata za 70 k tu, ukitoa elfu sabini ni nini kitapungua bwashee?