Sema usikike!

Sema usikike!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
Je, mtu anatakiwa kufahamu sayansi ili awe mhandisi mzuri? Ndiyo au hapana? Kwanini?
 
Kwani wewe hujuwi kuwa elimu ndio ni Ufunguo wa Maisha? Pasipo Elimu hutopata kazi nzuri soma sayansi upate kazi nzuri

duh ina maana kazi nzuri inapatikana kwa kusoma sayansi??? nikisoma arts je?
 
duh ina maana kazi nzuri inapatikana kwa kusoma sayansi??? nikisoma arts je?
soma chochote tu kina kazi nzuri,wewe hujaona hao wahandisi kutoka Udsm wanatafuta kazi miaka nenda rudi na hawazipati.
 
We bobea chochote ambacho akili yako inamudu, lakini kwa dunia ya leo hakikisha unafika viunga vya chuo kikuu i.e digirii ni silaha muhimu sana katika upiganaji.
 
We bobea chochote ambacho akili yako inamudu, lakini kwa dunia ya leo hakikisha unafika viunga vya chuo kikuu i.e digirii ni silaha muhimu sana katika upiganaji.

Thanks, nimekusoma! Gandi ji hapo nae nimemsoma!!
 
Back
Top Bottom