Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Aisee huyu kijana sijajua kama anatafuta Kiki au Coastal Union imebadilika kiasi hiki, kwamba Mwinyi Zahera ameibadilisha Coastal au uwepo wachezaji wa kigeni umeibadilisha Coastal au uwepo wa Ajib.
Nini kimempa jeuri msemaji huyu mchanga kabisa katika medani ya soka hapa bongo, je anatafuta kutrend au anaichongea timu yake, je haijui Simba au anafanya makusudi.
Je wanajua mipango ya Simba nje ya uwanja au wanaona Simba mbovu sana kiasi kwamba haina uwezo.Hivi kweli kisemaji hiki hakiogopi uwezo wa wachezaji wa Simba au nn.
Tusubiri kesho kisemaji cha Coastal Union.