Semantiki

Semantiki

msaada wakuu tafadhali

Nina imani wewe ni mwanafunzi au mtu anayependa kujifunza. Iko namna hii, tafuta jengo linaitwa maktaba( kwa kiinglishi laiburare), humo utamkuta mkutubi, muulize vitabu vya sarufi kiswahili , jisomee.

Ukitatizika baada ya kujisomea na kuifanya maktaba kuwa mpenzi kwako, njoo hapa uulize.
 
Sarufi maana iliyoko katika isimu fafanuzi
 
Back
Top Bottom