Nina imani wewe ni mwanafunzi au mtu anayependa kujifunza. Iko namna hii, tafuta jengo linaitwa maktaba( kwa kiinglishi laiburare), humo utamkuta mkutubi, muulize vitabu vya sarufi kiswahili , jisomee.
Ukitatizika baada ya kujisomea na kuifanya maktaba kuwa mpenzi kwako, njoo hapa uulize.