Tangazo limeisha au utarudi kumalizia?Salaam wakuu!
Jajajomills we want to make it simple and clear, sembe na dona safi, inatengenezwa na Jajojomills tu. Hizo zingine ni lazima uchekeche kabla ya kutumia, uchafu kibao!! yaani ni aibu!!!!!. Lakini Sembe na Dona chapa ya Jajojo, hauhitaji kuchekecha safiiiii!, ubora wa hali ya juu kabisa. Ukienda pale dukani tena kununua sembe! sema nataka sembe/dona chapa ya Jajojo.
Kwa wauzaji wa jumla na rejareja karibuni sana, 1kg - 50kg bei poa. Mteja kwetu ni Mheshimiwa.
Jajojo.
www.jajojo.com
jajojo@jajojo.com
Salaam wakuu!
Jajajomills we want to make it simple and clear, sembe na dona safi, inatengenezwa na Jajojomills tu. Hizo zingine ni lazima uchekeche kabla ya kutumia, uchafu kibao!! yaani ni aibu!!!!!. Lakini Sembe na Dona chapa ya Jajojo, hauhitaji kuchekecha safiiiii!, ubora wa hali ya juu kabisa. Ukienda pale dukani tena kununua sembe! sema nataka sembe/dona chapa ya Jajojo.
Kwa wauzaji wa jumla na rejareja karibuni sana, 1kg - 50kg bei poa. Mteja kwetu ni Mheshimiwa.
Jajojo.
www.jajojo.com
jajojo@jajojo.com
mkuu kitu gani kigumu hapo web iko hapo wewe fungua hiyo web site soma utaelewa tu.Badala ya kutangaza biashara unajitangaza wewe jojojo.jojojo ..au unamaanisha sembe gani mzee? Mbona bei ni siri na inapouzwa ni siri?
jibu la swali lako, fungua web site usome www.jajojo.comTangazo limeisha au utarudi kumalizia?
Nadhani utaleta namba za simu na location yako pamoja na bei.
sent from Sokoro nkorambokande
mkuu kitu gani kigumu hapo web iko hapo wewe fungua hiyo web site soma utaelewa tu.
www.jajojo.com
kweli mjinga hataki kusoma! ondoa ujinga soma sites mbali mbali utajifunza vitu.Sifanyi ujinga huo..nipo bize na mambo mengine..yaani unga tu wa ugali mpaka nifungue website??.. nonsense!!
soko la sembe chapa ya Jajojo linakuwa kwa kasi kubwa, hilo halitusumbui. Bei ni makubaliano ya wahusika na eneo husika. bei ya Dar na mbeya hazifanani!Yaani hata kama ni marketing haipo hivyo. Hapo ni umejipaka tope zaidi, na kama marketing yako ipo hivi tarajia kuua soko la bidhaa zako.
Yet unaulizwa bei, unawaambia watu waende wakasome ktk website.
hutuna pressure mkuu! biashara ni matangazo. Sembe/Dona chapa ya jajojo katika ubora wake.Huwezi kutangaza bidhaa yako bila kuponda bidhaa za watu wengine?
Kama bidhaa yako ina ubora ule unaotakwa pamoja na kukidhi viwango itanunulika tu, acha presha.
kweli mjinga hataki kusoma! ondoa ujinga soma sites mbali mbali utajifunza vitu.
Kama unajua una website tangazo umeleta huku ili iweje? Futa basi maana kila kitu kipo kwenye web.jibu la swali lako, fungua web site usome www.jajojo.com
Mkuu umenifuraisha sana, ok hii ni jukwaa la biashara na elimu, Sasa ni kitu gani kinakuzuia usielimike juu ya unga chapa ya jajojo! Elimu ni kujifunza au mwenzetu umeshafika tayari hutaki kujifunza tena! Naamini ukipata nafasi ya kusoma tutaelewana vizuri tu.We ffala kweli.. ina maana hujui hili ni jukwaa la biashara au elimu!!
Mheshimiwa kauli gani hiyo imekukwaza? tuirekebishe mara moja!Huyu hajui kanuni za biashara na mbaya zaidi kauli zake ziko uchi. Kwa kauli zako hizo nani ale hiyo jojojo yako?.
Sent using Jamii Forums mobile app