Sembe kilo imefika 1800 kwa sasa tutashaa

Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..
mbona hiyo bei ya mchele sasa .si bora kula wali
 
Wabongo hovyo kweli.Sasa mnataka mahindi yawe bei chini halafu wakulima wapate wapi pesa. Mie naona hiyo bei bado ndogo sana
 
Wewe mvulana Huna wazazi au ndugu wengine??
mi sinunui kilo wala gunia wala debe

nusu tu inantosha mchana na usiku

900 yangu aaaaah sina shida

wao waktaka kilo ifike hata 5000

nusu mimi 2500 tu inantosha
 
Mimi sio mkulima tatizo ni bei elekezi
Sawa, badala ya kulalamika hii iwe ni fursa ya kwenda kuyatafuta huko yanapopatikana kwa bei rahisi na kuja kuuza huko yanapouzwa kwa bei hiyo. Mpaka bei ije kukaa sawa tayari utakuwa na milioni zako kadhaa.
 
Ndio tuwe na akili..tunapeleka nguvu zote kulima matikiti miwa matango na maua rose tunasahau kushughulikia stable food. Na bado acha tushikishwe adabu..m nampenda sana trump kwani alitueleza ukweli juu ya akili zetu...leo hii tikiti miatatu mpaka miatano bei ya shamba nasemaaaaa nabado mpaka tukojoe dagaa
 
Tokea napata akili kijijini kwetu nilikuta desturi ya kila kaya kusave chakula cha mwaka mzima then ndio muuze kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…