Jina langu ni hapo kando yako, tebu iichungulie kaa imekushikilia uijue.
Ningeomba uelezi kwani kumepita muda nyingi tangu nimeongea Kiswahili. Pia, nilipokuwa nikiiongea, lugha enyewe haikuwa safi au sanifu. Kwa vile, utaeza ona vile lugha nitatanga kumeropokwa kiasi. Kwa hapo, ningeomba usaidizi na upole...
Kwa sasa, naishi huku America kwa ajiria ya kuelimika na kufanya kazi pia. Maisha tamu huku lakini hapakuwi pahali pengine kuzuri kuliko ulipotoka...au nilitokelewa? Hapo siezi jua...kukumbuka ulipozaliwa huwa taabu..
Kitu kubwa ungenijulia ni vile mi mshombe wa mama mzungu na baba mwafrika. Yaani nilifurahi sana ilipojulikana kuna wengine wetu, nilikuwa nathani tuko wachache sana sana. Nakumbuka nikiwa mtoto kuwapata washombe wengine haikuwa rahisi. Nakumbuka pia ata ningempata mmoja hatukuwa tunahusiana hivyo...tulikuwa tunachukiana kiasi, au hizo ni maoni zangu tu?
Kuwasalamia tu nijuliwe haha