BENEDICT BONIFACE JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 284 Reaction score 473 Dec 17, 2017 #101 fainali inachezwa saa ngapi
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Dec 17, 2017 #102 Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema
Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema
chabuso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 6,380 Reaction score 5,884 Dec 17, 2017 #103 mjumbe wa bwana said: Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema Click to expand... ππ
mjumbe wa bwana said: Wewe ni mtanzania au mzanzibar kama ni Tanzania waache wazanzibar na timu yao Njoo tupambane kuiua chadema Click to expand... ππ
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Dec 17, 2017 #104 King Ngwaba said: View attachment 652500 Hiyo ββ Ndiyo Bendera Ya Kwanza Ya Wazanzibari Baada Ya Kupewa Uhuru Wao Kamili December 1963... Ingawa Uhuru Huo ulidumu Mwezi mmoja tu na Kupinduliwa Mwaka 1964. Click to expand... Hii ndio bendera halisi ya Zanzibar. Izo nyengine zote za ccm si za zanzibar.
King Ngwaba said: View attachment 652500 Hiyo ββ Ndiyo Bendera Ya Kwanza Ya Wazanzibari Baada Ya Kupewa Uhuru Wao Kamili December 1963... Ingawa Uhuru Huo ulidumu Mwezi mmoja tu na Kupinduliwa Mwaka 1964. Click to expand... Hii ndio bendera halisi ya Zanzibar. Izo nyengine zote za ccm si za zanzibar.