Semina: Fursa ya kuanza biashara yako ya mtaji kuanzia TZS 390,000/= hadi 3m

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
MWANA JF: UNAKARIBISHWA KWENYE SEMINA YA UJASIRIAMALI WA JINSI YA KUANZA BIASHARA YENYE MTAJI MDOGO YAANI KUANZIA LAKI TATU NA TISINI HADI MILLIONI 3.

SEMINA ITAFANYIKA PALE ALDUA TOWER, JENGO LIKO MOROCCO KAMA UNAELEKEA MWENGE, WENGI WANALIJUA KAMA OFISI ZA BAYPORT.

MWALIKO NI CLOSED GROUP HIVYO NITUMIE MESSAGE KWENYE 0683157704 ama 0719206920 KAMA UTAPENDA KUHUDHURIA ILI TUKUWEKE KWENYE LISTI.

ANGALIZO: UKISHATUMA HIYO MSG UWE NA UHAKIKA WA KUHUDHURIA .........ILI WALIO TAYARI WENGINE TUSIWANYIME NAFASI.

NAFASI CHACHE.......WAHI SASA.......NI MUDA WAKO.......FURSA IMEKUFWATA........CHANGAMKA!!!!

HAKUNA KIINGILIO....
 
Gharama za semina ni dola 700 na ngapi?
 
Gharama za semina ni dola 700 na ngapi?

Gharama gani, wewe njoo kama umeona opportunity, we take care of hizo gharama align your self with success, realize your dreams, jifunze kuinvest in time....tumia muda wa kesho kuanzia saa tisa kujifunza kitu kipya...chukua hatua njoo Kaunga.

You can live your dream....
 
Hakuna wema huo bongo bwana acheni hizo
 
asante kwa habaeri njema ihii muda utakuwa kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi
itakuwa siku gani maana wengine tuko vibaruani hivyo ni vyema tuakajua muda rafiki?

Back
Top Bottom