Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Aug 20, 2010 #1 Wakuu, wasambazie watangazaji wa redio zote hii taarifa ili wahudhurie na kuweza kuwa fair wakati wa uchaguzi. Form ya Usajili Tangazo la Workshop yenyewe
Wakuu, wasambazie watangazaji wa redio zote hii taarifa ili wahudhurie na kuweza kuwa fair wakati wa uchaguzi. Form ya Usajili Tangazo la Workshop yenyewe
Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Aug 20, 2010 #2 Very good! Tatizo la waandishi wetu na wananchi wengi ni kutothamini utu wao, wengi huuza utu na ustaraabu wao kwa pesa na ahadi za kupatiwa vyeo, n.k. Nani angelitegemea Salva Rweyemamu wa 1997 angekuwa huyu wa 2010?
Very good! Tatizo la waandishi wetu na wananchi wengi ni kutothamini utu wao, wengi huuza utu na ustaraabu wao kwa pesa na ahadi za kupatiwa vyeo, n.k. Nani angelitegemea Salva Rweyemamu wa 1997 angekuwa huyu wa 2010?
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 434 Aug 20, 2010 #3 Mtumieni kibonde mganga njaa. Nasikia amepewa hela na uvccm ili wa mis lead wananchi wakati wa campaign kuhusu wapinzani
Mtumieni kibonde mganga njaa. Nasikia amepewa hela na uvccm ili wa mis lead wananchi wakati wa campaign kuhusu wapinzani
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Aug 20, 2010 Thread starter #4 Mh, najua mnao marafiki wanaofanya kazi vituo vya redio... Wasambazieni