Semina siku 5, kusaini siku 10 hii inamaanisha nini?

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Habari wanajf?

Jana nimeshangazwa sana na viongozi waendeshaji wa semina ya mafunzo kazini ya masomo ya sayansi (biology,chemistry,physics na math) kwa walimu baada ya kutoa tamko kuwa semina ni ya siku 5 na jana ilikua siku ya nne ambapo baada ya kuanza kusain maudhurio ya siku hiyo ndipo ilipo kuja kauli ya kuisaini hiyo karatasi mpaka siku ya kumi na wakati semina hiyo inaisha leo ambayo ni siku ya tano.
Swali-kwanini tusaini siku kumi je hizi tano analipwa nani?

Ndopo watu walipo goma kusaini hii ni kwa wale ambao mafunzo yamefanyikia dodoma sekondary (biology na chemustry tu)

Baada ya viongozi kuja nao ni maafisa elimu wa wilaya kwani wa mkoa yupo likizo.
-maelezo yao yapo hivi semina inawezeshwa na WIZARA YA ELIMU,JAICA na SHULE ZENYEWE kwa kutoa michango
-JAICA wametoa tsh 15 elfu za siku 10 na 5 elfu kwa ajir ya chakula.
-Wizara ya elimu imetoa pesa pia sijua tsh ngap,
-Shule zimechangia tsh 1610@mwamafunz 1.
*hii inamaanisha nn?!!!-shule 15 tuu za dodoma manispa zenye wanafunzi 500 na zaidi zinauwezo wa kuendesha semina hiii sasa pesa za jaica wizara na shule zilizo baki zinaenda wap?!!!!!!

-tukirudi ktk inshu ya kusaini siku kumi wamedai JAICA inatoa uzamini wa siku 10 basi inahtaji list ya siku 10 vile vile iliosainiwa ili iweze kutoa pesa.

-swali kwann hela zichangishwe tena mashuleni kama jaica inatoa fungu na wizara inaliongezea?!!

Nilichokiona Elimu ya Tz haithaminiwi na ndo maana na walimu hawathaminiwi pia na hata hizi semina zinaendeshwa kiubabaishaji...
+Aidha malipo ya siku ni 35 elfu tshs.
+nauli ikugharamie shule.
+chakula aubuh mchana wao.

Hii ndo jinsi ilivyo nawasilisha
 
hao jamaa ni matapeli na wabakaji wa elimu..........elimu ya Tanzania ishabakwa na watu kama hao.........namshukuru Mungu nimemaliza zamaniiiiiiiiiiiiii hizooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…