Napanga kufanya kazi kama hiyo lakini nikigusa zaidi haki za wananchi juu ya maliasili na haki ya kuwajibisha serikali katika maeneo yao kwa nchi nzima pindi nikirudi nyumbani.Tuanze taratibu mpaka uchaguzi ujao tutakuwa tumefanikiwa kwa asilimia 95 na kuendelea, ili tuweze kukomboa kizazi kijacho tumekuwa tukipoteza rasilimali nyingi sana, na sito penda ziendelee kupotea, sisi ndio wa kulikomboa taifa letu lenye kila aina ya utajiri..