Ni watanzania hao?kuna watu kama Robert kiyosaki
bill gate hawa watu nimaskini?
Nyie watu bhana...reference yenu ni kiyosaki na bill gate tu?..kuna watu kama Robert kiyosaki
bill gate hawa watu nimaskini?
Huku tabora mtakuja lin??sio hao tu wapo wengine wengi tu
niko Lindi Nachunyu uku, nawapataje?leo ndio leo wadau