SEMINA YA MAHUSIANO kwa SINGLES, DIVORCED & WIDOWS (tar. 11/08/2013)

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Baada ya kufanikiwa kuwaletea Get Together Party ya kwanza na kuwakutanisha watu zaidi ya 200 pale PRINCESS HALL SINZA MAPAMBANO sasa tunawakaribisha tena kwenye semina ya Mahusiano itakayofanyika PRINCESS HALL, SINZA MAPAMBANO tarehe 11 Agosti, 2013 kuanzia saa 8 Mchana Kiingilio ni Tsh. 5,000/=. MADA mbali mbali za mahusiano zitajadiliwa. Wale wa Mikoani bado tunafanya mipango ya kuwafikia kwa kuanzia tunafikiria kuanza na ARUSHA kisha MWANZA ,MBEYA na DODOMA.
 
Kwa hisani ya watu gani?
 

ebu kama uko serious ni PM nipe details bana..nije na mimi ...its has been a while since niende kwenye singles seminar...
 
mmm... tuwekee mada hapa na majina ya wawasilishaji kabla hatujalipa?

By the way.. Wenye mahusiano hamuwataki???
 
Kwahiyo nani hana akili aje kwenye semina ya mahusiano yanayotolewa na watu waloshindwa mahusiano yao?
Eti mtu anataka awape watu semina wakati yeye mwenyewe kashindwa anarukaruka tu leo kwa huyu kesho kwa yule.
Nachukia sana mtu kufanya wenzie kitega uchumi kisa hawawezi kuchambua mambo.
Nimeshuhudia wanawake wakidanganywa na wenzio eti anakodishwa mtu kufundisha kitchen party wakati mwalimu mwenyewe mabwana kibao wamempitia hajatulia nao na wakati anafundisha hana bwana..Huu ni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…