BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Katika video anayeonekana kwanza ni Mwakilishi wa Taasisi ya SOS Children’s Villages, Leah Mtalai akitoa mada namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo katika mwendelezo wa semina ya siku saba ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili kwa Askari wa Jeshi Polisi yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na REPSSI.