Semina ya ujasiriamali jijini arusha

Semina ya ujasiriamali jijini arusha

RafikiElimu

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
11
Reaction score
7
NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI JIJINI ARUSHA.
RAFIKIeLIMU FOUNDATION kwa kushirikiana na Taasisi ya VISION FOR YOUTH ya Jijini Arusha, wanakuletea SEMINA YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI . Mafunzo yatakayo fundishwa ni pamoja na Utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile ; Sabuni za aina mbalimbali, chaki, mishumaa, usindikaji, utengenezaji wa manukato ( perfumes ), lotion, mafuta ya kujipaka, kiwi, mango pickles, Chilly Sauce, Tomato Sauce nakadhalika.

WAPI : KWENYE UKUMBI WA MAKUMBUSHO ULIOPO KARIBU NA MNARA WA MWENGE.
LINI : Tarehe 20 hadi 21 Mwezi wa Tano ( MEI ) kuanzia saa tatu kamili asubuhi hadi saa tisa kamili alasiri.

ADA YA KUSHIRIKI : Shilingi Elfu Ishirini Na Tano Tu ( Tshs. 25,000/=)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Uongozi wa Taasisi Ya VISION FOR YOUTH kwa Simu : 0762580504.
AU Fika katika ofisi zao zilizopo katika eneo la NAIROBI ROAD, LUSONA HOUSE, 3[SUP]rd[/SUP] FLOOR
 

Attachments

  • raefo.JPG
    raefo.JPG
    16.6 KB · Views: 68
Back
Top Bottom