Semina ya Ujasiriamali

Semina ya Ujasiriamali

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
wadau habari zenu,

Naomba kufahamu taasisi,jumuiya au wataalamu fulani wanaotoa semina ya Ujasiriamali. Nina Mwaka mmoja sasa tokea nianze biashara yangu ya duka la rejareja hapa morogoro mjini, nna shauku ya kupata msukumo wa fikra na mawazo mengine ili nifanye vizuri zaidi na niwekeze kwenye shughuli nyingine ikiwezekana ktk huu ujasiriamali,

tafadhali naomba kuwasilisha,
 
soma vitabu. Jizoeshe tabia ya kusoma vitabu vya ujasiria mali na biashara. Tembelea maduka ya vitabu.

Ulizia vitabu vya ujasiria mali na mbinu za biashara. Vipo vingi nunua usome na kujifunza.
 
Back
Top Bottom