Semina za Amka na Badilika zinafanyika wapi na lini?

Semina za Amka na Badilika zinafanyika wapi na lini?

harhu

New Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari ndugu zangu,

Naomba kujuzwa kuhusu semina za amka na badilika ratiba take na je,zinamanufaa ya kuonekana au zinamsaada kwa sie tunaotaka kuanza ujasiriamali mdogo mdogo?

Nisaidieni please!
 
Back
Top Bottom