H harhu New Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Aug 2, 2015 #1 Habari ndugu zangu, Naomba kujuzwa kuhusu semina za amka na badilika ratiba take na je,zinamanufaa ya kuonekana au zinamsaada kwa sie tunaotaka kuanza ujasiriamali mdogo mdogo? Nisaidieni please!
Habari ndugu zangu, Naomba kujuzwa kuhusu semina za amka na badilika ratiba take na je,zinamanufaa ya kuonekana au zinamsaada kwa sie tunaotaka kuanza ujasiriamali mdogo mdogo? Nisaidieni please!
Criss Alex Senior Member Joined Apr 18, 2012 Posts 111 Reaction score 10 Aug 4, 2015 #2 piga cm au ulza kwa txt namba hii. 0755285023.