Wana JF wakubwa Shikamoo wadogo marhaba ( Umri wangu miaka 47 iliujue kama unastahili shikamoo au marhaba) Naomba mtu yeyote anayefahamu Shule ya Sekondari Boarding Seminary Nzuri kwa waschana anisaidia kuniambia. Ninatanguliza shukurani.
Aksanten
Nashukuru saana. Mkoa wowote mheshimiwa. Naomba hata hizo ambazo mnasema siwezi pata nafasi unitajie tu. Kama unaweza ukajua karo ni vizuri pia uniambie.
Natanguliza shukuran