Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Habari za asubuhi wapendwa
Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya
Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini
Ukienda harusini hakikisha umekula ila usishibe
Hakikisha umekunywa ila usivimbiwe ukavimbiwe harusini
Mkiona vinywaji vingi kila aina hakikisha unakunywa unachostahili usiaibike
Ukiona chakula kila aina na mnaulizwa mwende mkarudie, Kula kinachostahili
Shetani asikuingie ukaenda nje kutafuta mfuko utaaibika.
Majuzi nilihudhuria sherehe ya sendoff ya mtoto wa kigogo mmoja. Alinifurahisha sana aliwaonyesha jamaa na marafiki kizuri gharama
Wapo waliochanga mamilioni wakapewa mpaka na ndafu kadhaa kama 30
Sasa kuna group hili ndilo lilonichekesha. Wakati natoka nikashangaa mbona tuko kwenye foleni, kuangalia kwa mbele naona jamaa wana mashine za kusachi kama tuko JNIA. Hapo ni saa nane usiku.
Ghafla naona wamama, wadada kwa wababa wanarudi kwenye meza ghafla nikasema kuna nini.
Kuangalia naona watu wanambiwa kama una kinywaji mfukoni kwenye mfuko, Koti tafadhali rudi kwenye siti yako hakikisha umemaliza vyote.
Hakuna atakayeruhusiwa kuondoka na kinywaji chochote hapa getini, mimi nikapita getini nasubiri niliowaleta
Ghafla napigiwa na jamaa niliowaleta, kaka hawa washenzi wametuzuia huku kutoka na vinywaji na tumetoa laki 3 kila mtu
Hahaha nikawambia mimi sijawahi zoea sherehe za vinywaji na ma vyakula ovyo lazima mngejiongeza.
Hahaa mmoja akasema tumeweka kwenye chupa za maji wine zote tunaelekea chooni kuvimwaga
Loh mwingine akapiga kaka nimejaza Hennesy kwa chupa naelekea chooni kumwaga zote.
Kifupi, Sio tu Mlimani city halls popote pale ukienda harusini hakikisha umekula ndugu umekula kama una kinywaji kunywa
Usizoee sana misosi na vinywaji vya harusini utaaibika.