Sendoff ya Flaviana Matata yavutia sana wakazi wa Shinyanga na viunga vyake

Du, naona amevaa kisabato.
Hongera zake.
Pole Mange, mwaka huu kila unayemchukia anabarikiwa.

Haaaaaaahaaaa umenivunja mbavu na pole kwa mange, huu mwaka asipofanya alichojifanya babake, atakuwa shujaa.
 
Haaaaaaahaaaa umenivunja mbavu na pole kwa mange, huu mwaka asipofanya alichojifanya babake, atakuwa shujaa.
Du! Unamaanisha kua atajiua kama babake? Mkuu hivi Ramadhani ilikuaje akajiua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…