Senegal: Aliyetimuliwa Uwaziri Mkuu achaguliwa kuwa Spika wa Bunge

Tanzania tunazidiwa na nchi nyingi sana Senegal ikiwemo.

Nyerere aliyekiri mwaka 1977 kwamba hii katiba ilikuwa mbovu na akaiacha kimsingi ndiye aliyetuua, leo hii kuna watu wanaukwaa urais kirahisi ktk nchi hii wakati hawana kabisa sifa ya kuwa rais.

Leo hii tuna bunge la muhuri ambalo hata halijachaguliwa na wananchi na mahakama zinazofanya kazi kwa maagizo ya rais.
 
Na sisi tupate katiba itakayotufikisha huku. We real need this.

-Jaji mkuu
-Mwanasheria mkuu
-Mkurugenzi wa Nec
-CDF
-IGP
-CAG
Tunahitaji mchakato mwingine wa kuwapata hawa wakuu.
 
Ni wazi hapo Faye anaenda kupigwa chini.
Afrika rais ni mungu mtu ikifika November atavunja bunge na anauwezo wa kuamua nani arudi bungeni na nani asirudi. Usishangae hata sonko akapewa kesi ya ugaidi na kuwekwa ndani.
 
Afrika rais ni mungu mtu ikifika November atavunja bunge na anauwezo wa kuamua nani arudi bungeni na nani asirudi. Usishangae hata sonko akapewa kesi ya ugaidi na kuwekwa ndani.
Kwa Senegal hakuna kitu kama hicho hayo ni mambo ya ccm tu.
 
Wewe kichwa chako kimejaa udini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…