Senegal vs Tanzania Live streaming Link

Link tayari hiyo,,mlio mbali na TV
 
Na msiokuwa na TV kabisa
Asante nipo mbali na TV na nina angaria vizur tu. Nipo na wasenagal.

Huyu forward wao Senegal rasta asipo dhibitiwa atasababisha majanga mengi.

Ninafanyiwa inda.
 
Piga nyau wa lumumba hao
 
🤣🤣🤣🤣ilani ya chama naskia inatekelezwa ipasavyo huko kwa farao🤣🤣🤣🤣🤣 🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…