yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sane ni mmojawapo au ?!Double nationality! Tanzania imepoteza thirteen football players ninao wafahamu.
Hapana, Sio mmoja wapo.Sane ni mmojawapo au ?!
Stop this!Tutapigwa mpaka tuchakae
siku hiyo Senegal wametusamehe saaana ni goli sabaWatakuja watu na kauli zao za " sisi tuko kumi na moja na wao wako kumi na moja " ila kiuhalisia kwenye kundi letu hatutoboi
Kama umefuatilia michezo yote aliyocheza Senegal katika kundi lake la kufuzu AFCON utawaona sio wazuri kihivyo kama watu wanavyowapa nafasi . Mpira ni dakika 90 naimani Taifa Stars watatoka na matokeo mazursiku hiyo Senegal wametusamehe saaana ni goli saba
Na hicho kipigo kitakuwa ni juhudi za serikali ya ccmTutapigwa mpaka tuchakae
Na hicho kipigo kitakuwa ni juhudi za serikali ya ccm
Mkuu huwa Taifa Stars wakishinda ccm wanasema ni juhudi zao. Wakifungwa pia inabidi wakubali tu ni juhudi za ccm na serikali ya awamu ya 5Du! Kweli naichukia ccm lakini imeingiaje kwenye mchezo wa soka?
Mi uhalisia kwenye kundi letu taifa stars ndo itakua inaburuza mkia, nasema hivyo kwa sababu ambazo zipo wazi wenzetu wako juu hata kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja