Senegal yaita 25 wanaocheza nje tu kuikabili Stars Afcon

Ccm siku zote wamekuwa wakiuogopa uraia pacha bila sababu zenye mashiko. Tungeruhusu kuwa na huu utaratibu, huenda na sisi tungenufaika sana kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo hii sekta ya michezo.
 
Watakuja watu na kauli zao za " sisi tuko kumi na moja na wao wako kumi na moja " ila kiuhalisia kwenye kundi letu hatutoboi
 
siku hiyo Senegal wametusamehe saaana ni goli saba
Kama umefuatilia michezo yote aliyocheza Senegal katika kundi lake la kufuzu AFCON utawaona sio wazuri kihivyo kama watu wanavyowapa nafasi . Mpira ni dakika 90 naimani Taifa Stars watatoka na matokeo mazur
 
Wacheni uwoga taifa star ni bora kuliko Senegal
 
Du! Kweli naichukia ccm lakini imeingiaje kwenye mchezo wa soka?
Mi uhalisia kwenye kundi letu taifa stars ndo itakua inaburuza mkia, nasema hivyo kwa sababu ambazo zipo wazi wenzetu wako juu hata kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja
Na hicho kipigo kitakuwa ni juhudi za serikali ya ccm
 
Du! Kweli naichukia ccm lakini imeingiaje kwenye mchezo wa soka?
Mi uhalisia kwenye kundi letu taifa stars ndo itakua inaburuza mkia, nasema hivyo kwa sababu ambazo zipo wazi wenzetu wako juu hata kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja
Mkuu huwa Taifa Stars wakishinda ccm wanasema ni juhudi zao. Wakifungwa pia inabidi wakubali tu ni juhudi za ccm na serikali ya awamu ya 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…