Senetor is seriously sick

@ The Finest nini kumtisha mgonjwa? Wengine tuna alergy na sindano bana angalia malaria zisijehamia kwetu.



@ senetor pole sana and get well soon.
 
Asanten wadau,pamoja sana wajamen.
 
Pole sana mkuu na tunakuombea upaet nafuu mapema
 
pole sana ndugu yangu. vipi ushapata matokeo? Mia
 
Pole sn mkuu,mungu na akusaidie upone haraka!jaman inabidi tumkee huyu pepo wa magonjwa aliyeingilia wateule wa jf,na ashindwe na wateule wake wapone.
 
Pole sana, tunakuombea upone haraka!!!!
 
@ The Finest nini kumtisha mgonjwa? Wengine tuna alergy na sindano bana angalia malaria zisijehamia kwetu.
@ senetor pole sana and get well soon.
halafu msindano wenyewe umejaa midamu utafikiri ni ya kupimia taifodi au hiv,kha!
pole bwana Senator,be strong!
 
Pole senator

@TF; soft killer, sasa umeamua kuwanywesha kwa sirinji?
 
hakikisha untumia dozi ipasavyo ili uviue hivo vidudu viwili.
Pole, utapoaa enheee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…