son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Senetor wa jimbo la Arkansas Tom cotton ameipiga mkwara mahakama ya ICC kupitia mtandao wake wa X
ICC ni mahakama isiyotambulika na Karim khan ni siasa kali.Na yeyote atakayejaribu kutoa hati ya ukamataji subiri niwakumbushe sheria ya America kuhusiana na ICC inajulikana kama "The Hague invasion Act for a reason"
The Hague invasion act ilipitishwa mwaka 2002 kulinda maslahi ya marekani na washirika wake dhidi ya Icc.Sheria inampa nguvu rais wa marekani kwa namna yeyote ile hata kuhusisha nguvu ya kijeshi kuwatoa raia wake na wa washirika wake kutoka the Hague.