Senga na Mr Pembe, wakongwe wa comedy waja kivingine

Ila hayo matusi kwa kutaja miji yenye majina ya ajabu ulikuwa mtindo wa wazee wa zamani mfano Bangladesh lilikuwa tusi maarufu sana.

Watoto wa siku hizi ukimtukana hivyo anakuumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Max alishalipa na anaendelea kulipia mahakamani ili tujiachie tu humu ..[emoji41][emoji41]
Max Mungu amlinde! Amewakutanisha watanzania wangapi? Bonge la pongezi kwake na timu yake! Haya ndiyo maendeleo, ubunifu muhimu sana. Vijana tubadirike, kuwepo kwetu leo kuwe kumbukumbu ya vizazi vijavyo.... siyo kupiga selfie...
 
Namuona mnyakyusa mwenzangu Senga Mwakahawa nkundwe mwakamnato 💪
 
Heri Warudi Maana Comedy Ya Hivi Karibu Ilikuwa Wengi Waigize Kama Wanawake Ndio Waone Comedy
 
Commedian hapo ni Senga, Pembe hawezi kuchekesha bila uwepo wa Senga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…