Uchaguzi 2020 Sengerema: Dkt. Magufuli aomba ridhaa kuongoza Muhula wa Pili. Asema wakichagua mwingine anaweza kuuza skrepa vyuma vya kujengea daraja

Hahaha what a joke [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ujinga wa kupita bila kupingwa, uishe
 
Hizi ndio zile za kumuibia mtu penseli na kumsaidia kutafuta....
 
Lisu umeuona huo umati Sengerema? Umeshadhindwa mchana kweupe. Waliohudhuria Sengerema tu kwa Magufuli ni wengi kuliko mikutano yako yote uliyofanya nchi nzima ikijumlishwa kwa pamoja
 
Kwani magu alizaliwa aliwa rais? Kila mtu anaanza kama raia wa kawaida. Tatizo la baadhi ya watanzania ukiwalaza mgongo chini tumbo juu utawakuta hivyo hata baada ya miaka 50.
 
Hoja dhaifu sana hii!! Tunataka hoja zilizoshiba kwa nini tumpe awamu ya pili?
 
Kanuni zinavunjwa za uchaguzi kiwango ambacho NEC ilipaswa imechukulie hatua Kali Magufuli.

1. Anatumia lugha isiyo rasmi ya kisukuma kinyume na sheria.

2. Anaamuru watu Fulani wachaguliwe kwani wasipomchagua atawanyima maendeleo kama atachaguliwa.

3. Anaagiza maafisa serikali kutekeleza mambo kwa kupiga simu kama ushawishi apewe kura.

Huu ni ushenzi ambao tume ili paswa kuchukua hatua Mara moja
 
Kanuni zinavunjwa za uchaguzi kiwango ambacho NEC ilipaswa imechukulie hatua Kali Magufuli.
1. Anatumia lugha isiyo rasmi ya kisukuma kinyume na sheria...
NEC ni vibaraka tu wasioona kasoro za mgombea wa CCM!
 
Kwa nini huyu mzee hajiamini? Anazunguka kufanya kampeni za nini wakati miaka 5 yote amezurula peke yake? Kwani miaka yote 5 wananchi hawajamwelewa tu? Basi kuna tatizo mahali. Mimi nilifikiri angekaa tu sasa hivi nyumbani akisubiri kuapishwa tu. Bado anaomba kura! Kuna tatizo mahali siyo bure
 
Hawa NEC ccm mpaka Mh, awaambie haya mambo ya hovyo sana.
 
Kama ambavyo "wao" waliuza nyumba za serikali, mashirika ya umma na viwanda!!!
Wanadamu (hususan WADANGANYIKA!!) wasahaulifu sana aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…