Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo.
Kwakweli inasikitisha, hizo below per performance zinaonekana.Wewe huku shangaa mtangazaji wa clouds anapewa ukurugenzi wa wilaya?
Hata vimada utasikia wamekuwa wakurugenzi...
Ndio kusaidia kwenye huku.Saidia nchi yako.. acha kulalamika tu... kama hujui kuweka nondo oops labda hauna..
Bora ukae huko huko...
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Huu upuuzi ulizidi kiwangoWewe huku shangaa mtangazaji wa clouds anapewa ukurugenzi wa wilaya?
Hata vimada utasikia wamekuwa wakurugenzi
Hivi huko wilayani na manispaa hakuna maafisa wakuu wa kilimo,mifugo,elimu ,Afya wakapewa ukurugenzi ambao wanafahamu kazi?
Kwanini uteue wachekeshaji na unaacha senior officials
Sent using Jamii Forums mobile app