K Kijamani Senior Member Joined Nov 10, 2009 Posts 159 Reaction score 9 Dec 10, 2010 #1 Vijana wa kili stars wanaumana vikali na the cranes ya Uganda na hadi ninaingia on line dakika chache kabla ya mpira kwisha hakuna mbabe.Mungu ibariki tanzania
Vijana wa kili stars wanaumana vikali na the cranes ya Uganda na hadi ninaingia on line dakika chache kabla ya mpira kwisha hakuna mbabe.Mungu ibariki tanzania
N Newvision JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 446 Reaction score 30 Dec 10, 2010 #2 Je matokeo ni vipi?