Elections 2010 Sensa 2002 Igunga: Waisalmu 89% Wakristo %9

Dume la Mende

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
423
Reaction score
64
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
 
kwani wao waikiwa wenngi ndio sababu..mbona kigoma wapo kibao halafu upinzani kama kawaida..
 
Unapaswa kuwa mkweli,sidhani kama takwimu za sensa za 2002 zilikuwa zinaonyesha idadi ya watu kwa pamoja na dini zao. Ninachofahamu ilikuwa zinaonyesha idadi ya watu pamoja na jinsia mf: wanawake na wanaume au watoto na watu wazima.
 
mbona unatoka povu mkuu, kwani nani kataja chama kisicho cha upinzani? je kama ni wapenzi wa CUF? Ina maana CUF si upinzani? Au ni chama "kile" tu ndicho cha upinzani?
 
Hapo penye rangi tu yaonesha wewe huna data. Kafanye utafiti kisha rudi ubishane. DO YOUR HOME WORK
 
Toa upuuzi hapa.Mods tafadhali ondoeni hii mada.Jamiiforums itakosa heshima sasa
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa Magwanda hawana chao hapo?
 
Toa upuuzi hapa.Mods tafadhali ondoeni hii mada.Jamiiforums itakosa heshima sasa
Mbona mkitoa matusi huoni kama JF inakosa heshima? Takwimu zimewekwa wewe unasema kukosa heshima?? hoja ya namna gani hiii?
 
Dume la Mende mikutano yote ya upinzani ilikuwa inahudhuriwa na waislamu tu? Onyesha ukomavu wa kisiasa kwa kujiepusha na siasa za udini maana madhara yake ni makubwa kuliko inavyofikiri.
 
kwani uchaguzi wa igunga wa kidini??? mimi nanachojua ni uchaguzi wa vyama vya siasa sas huo mgawanyo wa kidini sjjui unatoka wapi............Au wale wale wabaguzi....ukila nyama ya mtu utaendelea tu......nosense
 
mbona unatoka povu mkuu, kwani nani kataja chama kisicho cha upinzani? je kama ni wapenzi wa CUF? Ina maana CUF si upinzani? Au ni chama "kile" tu ndicho cha upinzani?

Ndo maana yake! Hujui kama CUF kawekwa ndan na Bw.CCm anaendelea kujilia mambo yake....?
 
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.

Na waliopigiwa miti wake zao wako % ngapi?
 
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.

Mkuu, kwa hiyo Wakiristo wengi wapo CDM watakipigia chama chao?
 
Hivi unafikiri Igunga ni Zenji? Kajipange tena.
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
 
Tumbo la kuhara linawasumbua baadhi ya watu humu ndani!!
 
Back
Top Bottom