lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 276 Reaction score 574 Jul 1, 2024 #1 Asilimia 82.5 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi wanamiliki simu ya mkononi. Tanzania Zanzibar ina wamiliki wengi zaidi (asilimia 88.8) kuliko Tanzania Bara (asilimia 82.3). Sensa2022. PIA SOMA - Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120
Asilimia 82.5 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi wanamiliki simu ya mkononi. Tanzania Zanzibar ina wamiliki wengi zaidi (asilimia 88.8) kuliko Tanzania Bara (asilimia 82.3). Sensa2022. PIA SOMA - Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jul 1, 2024 #2 uongo tuuh huuu