Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Hivi hii ina maana gani kutuma meseji kila siku ili mimi zinisaidie nini? Yaani ndio mpanga maendeleo ya nchi ama ni nini eti wanajukwaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu matokeo ya sensa yatangazwe haipiti siku 3 natumiwa meseji laini zote 2Mbona mimi situmiwi? Itakuwa huyo Sensa anakupenda
Kibaya zaidi huenda sisi ndo tunalipia hiyo bill,every now and then wanatuma tuuHivi hii ina maana gani kutuma meseji kila siku ili mimi zinisaidie nini? Yaani ndio mpanga maendeleo ya nchi ama ni nini eti wanajukwaa?
Ingekua wanatoa hiyo ingekua na manufaa kuliko hiyo ambayo vyombo vya habari vimeshaitangaza sana.Watoa na idadi kiwilaya, tarafa, kata, vijiji hadi vitongoji