Wahenga walishasema kuishi kwingi kuona mengi .Mabadiliko ya kweli yanaanza na mabadiliko ya fikra. Uthubutu umeleta mabadiliko Kwa Mara ya kwanza sensa imefanyika kidigitali, jambo zuri kwenye mabadiliko.
Serikali imethubutu japo Maandalizi hayakutosheleza kufanikisha zoezi hili,nimefarijika sana kuona uthubutu huu Kwa Mara nyingine tunahitaji kufanya uthubutu Mkubwa zaidi wakati.
Watu wengi wamepoteza muda kusubiri makarani kutokana na mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa zoezi watu wengi hawakupata nafasi ya kuhesabiwa kitu kilichopelekea watu wengine kushindwa kuhesabiwa na kutumia muda mrefu wa zoezi , kwani ni vigumu mwanachi kusubiri siku saba kuhesabiwa.
Wajenzi wa fikra tunashauri Muda wa kuhesabiwa iwe siku moja kuepusha watu kusubiri siku nzima nyumbani bila kuhesabiwa Kwa kuwa hawajui muda ambao makarani watafika.Serikali itengeneze vituo vya kuhesabia ili watu kwenye majukumu wakajiandikishe Kwa muda wao au Serikali iajiri makarani wengi zaidi watakao kamilisha kazi siku moja.
Serikali serikali itengeneze maswali mazuri ya kuwauliza watu ili watoe taarifa sahihi ,wazingatie umri mfano(0-10),(11-19),(20-20),(50-60) wasiulize maswali mengi yasiyo ya lazima ,kiuhalisia watu hawapendi kujibu maswali hivyo hupelekea kutoa taarifa za uongo.
VALERIAN MAGANDA
0717715271