tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Aug 4, 2012 #1 habari wakuu vp wilaya ya ilala washabandika majina ya sensa maana nasikia tu kawe,ndugumbi na kwingineko ila sijasikia kata ya yoyote ya wilaya ya ilala,jamani kulikoni huku ilala?
habari wakuu vp wilaya ya ilala washabandika majina ya sensa maana nasikia tu kawe,ndugumbi na kwingineko ila sijasikia kata ya yoyote ya wilaya ya ilala,jamani kulikoni huku ilala?