ninachojua ni kuwa WASIMAMIZI wamedharauliwa kwani kuna baadhi wamelipwa na wengine NO, UKIULIZA kwanini HAWAJALIPWA, JIBU linalotoka kwa kweli linahuzunisha eti utaratibu ndiyo huo uliopangwa kutoka DSM. Yaani umefanyishwa kazi na kutumia raslimali zako na kusafiri zaidi ya 400km kuzunguka SA, Halafu eti afisa ambaye yuko DSM, tena asiyejua hata mazingira ya kazi, anasema hao hawastahili, kwa kweli hili linasikitisha sana. SIELEWI KWANINI WATZ HASA VIONGOZI WAANDAMIZI WANAFANYA HIVI
Yaani mtu yuko DSM anapanga utaratibu wa malipo kwa watu walio ktk mabonde kuinama. NA anapanga eti wengine wasimamizi hawatalipwa as if wao hawakufanya kazi za usimamizi.
NBS liangalieni hili kwa jicho la aina yake, LIANGALIENI HILI, NI VIZURI MKIWALIPA STAHILI ZAO, TUKUMBUKE KUWA SISI SOTE NI WATZ, HAKUNA HAJA YA KUDHARAURIANA KTK KAZI NA UBAGUZI KTK MALIPO SI JAMBO JEMA HATA KIDOGO. HUU NI UKWELI HALISI HUKU FIELD SIO MAJUNGU