Sijutii kuikosa hyo kazi!
Mi nilipangwa shule ya seko kondo maeneo ya bahari beach hadi kufika wakat wa kwenda i used elfu 2, afu nafika wahusika hawapo, 2metembea kwa mguu mana hata pikpik kwa saa ya kurud hazkuwepo, mpaka kufika sehem ya kupanda gar miguu yote kwishnei.