nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
"Actually" you're telling the truthSema idadi ya watu wanaojua kusema Actually/this/that/so nk
Kuongea kingereza fasaha hata 1/8 hawafiki
Iz nderichako speaks ze EnglishSensa inakuja hivi karibuni,
Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha.
Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili?
Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza.
Je, Watanzania wangapi wanajua kuzungumza Kiingereza?
Pia nimekuwa nikifikiri kuwa, huenda hadi hapa tulipofikia idadi ya Watanzania wanaoongea Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaoongea lugha za makabila.
Sina takwimu za kutetea hoja yangu ila nadhani sensa itaniletea majibu ya swali hili.
sasa mkuu na wewe unafaidika na nini kinachoendelea huko ukraine ?Unawaza vitu vya kipuuzi sana, hivi hata unajua kinachojiri Ukraine?
KweliSema idadi ya watu wanaojua kusema Actually/this/that/so nk
Kuongea kingereza fasaha hata 1/8 hawafiki
sasa mkuu na wewe unafaidika na nini kinachoendelea huko ukraine ?
Hakuna kipengele cha dini wala kabila katika sensa ila kuna kipengele cha lugha zinazozungumzwa na watanzania hiko kipengele kipoTanzania tunahangaika na sensa ya makabila na dini.
Sijui aliyebuni hii sensa Ana elimu ya chuo gani
Sasa kama unataka habari za Ukraine anzisha uzi wa Ukraine ama nenda kwa walioanzisha uzi wa Ukraine tutakuja kuchangia, yani sie tusimamishe mada na shughuli zote kisa Ukraine imevamiwa,Hujui athari za vita, ila unadhani kuna faida kujua watu kadhaa wanaongea lugha fulani?
Sasa kama unataka habari za Ukraine anzisha uzi wa Ukraine ama nenda kwa walioanzisha uzi wa Ukraine tutakuja kuchangia, yani sie tusimamishe mada na shughuli zote kisa Ukraine imevamiwa,