Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake. Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
una Akili fupi sanaNauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.
Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Katiba ni takwa la msingiNauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.
Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Mwenye akili ndefu, Mbona Kama umeandika makorokoro? Au ndio Mambo ya Chama Cha Mazezeta?una Akili fupi sana
sensa ni sensa na katiba ni ksyiba
hsviingiliani
Povu aiseeMwenye akili ndefu, Mbona Kama umeandika makorokoro? Au ndio Mambo ya Chama Cha Mazezeta?
Krona mpya ehhPovu aisee
tusipoangalia tutaambiwa hata wake zetu tusiwakaze hadi tupate krona mpya
Vizazi na vifo ingekuwa taasisi imara isingeshindwa hesabu za kujumlisha na kutoa.Sensa ni muhimu kweli kweli hiyo katiba mpya isubiri kwanza maana hata ya zamani bado wengi wetu hatujaitambua ila sensa ya zamani tunaikumbuka watanzania wengi
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.
Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Sensa ni ratiba ya taifa kuwa lazima ifanyike kila baada miaka kumi, ni ya muhimu kuliko hiyo katiba ambayo mimi binafsi sioni faida yake labda mnielimishe faida ya hiyo katibaNauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.
Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Waelewa nawazalendo wa kweli watakuambia Katiba kwanza na mengine yote yatafanyika vema zaidi na Tija itakuwepo.Hapa nchi yetu ilipofikia hata hiyo Sensa ibachakachuliwa kwa interest za kisiasa na kupoteza uhalisia.Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.
Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Hivyo tunaweza kuvitekeleza kwa wakati moja Ama separately.Fedha za Tozo za Mabenki zielekezwe huko.Kupanga ni kuchagua.Sensa Sehemu kubwa sio pesa zetu na CCM haiwapunguzii monopoly.