nolakinabo
Member
- Feb 5, 2012
- 24
- 0
Leo katika pita yangu mtaani nakutana na walimu wanalalamikate eti wamefunga shule ili washiriki zoez la sensa lakin badala yake wamechukuliwa watu wa mtaani na maofisa. je kuna ukweli kuwa wameachwa kutokana na mgomo ulifanya?wadau 2peane ushauri kwani wanasema zoez hilo linaitaji watu wenye uzoefu kama manes na walimu.watu wanajiuliza au walitoa rushwa maana nimeona mpaka housegirl wa bosi mmoja yupo ktk zoezi hilo.au haliitaji wataalam.