Sensa (needs assessment) ya wafanyabiashara Kariakoo inahitajika

Sensa (needs assessment) ya wafanyabiashara Kariakoo inahitajika

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Ili kuepusha migomo kujirudia inahitajika elimu kubwa hapo kariakoo, taarifa zifuatazo zitasaidia kutengeneza maudhui ya kozi husika,

1. Majina kamili (kama yanavyoonekana kwenye NIDA),

2.TIN (anwani ya biashara ilipo),

3. Kiwango cha juu kabisa cha elimu, cha wafanyabiashara.

4. Mahojiano ya awali na wawakilishi wa wafanyabiashara wa kila sekta mathalani (vifaa vya ujenzi, nguo, vifaa vya magari, vyombo vya ndani, hoteli, vifaa vya elektroniki).

Asanteni.
 
Si nasikia lingine wanalolamika ni biashara za kufanywa na wazawa wamezikalia wachina
 
Back
Top Bottom