Sensa ni Social Experiment ni ID2020 Agenda ya Bill Gates &Co.!

Sensa ni Social Experiment ni ID2020 Agenda ya Bill Gates &Co.!

Elimu yako Tafadhali?

Sensa ni muhimu.
Hamuwezi kuishi katika nchi msiyojua mpo wangapi?
Vijana na mabinti wangapi?
Wanaume na wanawake wangapi?
Rate ya kufa na kuzaliwa kwa miaka 10 inaendaje? Hii inasaidia ku-predict Future ya nchi Kwa miaka kadhaa itakuwaje!

Utegemezi wa watu ukoje? Yaani watoto na Wazee, Walemavu na makundi maalumu ni wangapi?

Population data ni muhimu Kwa watu wenye Akili tuu, Kwa watu wajinga wajinga kwao sio muhimu.

Ni muhimu Kwa makundi haya ya watu wenye akili
1. Wafanyabiashara
2. Watawala
3. Viongozi wa Dini
4. Watoa Huduma za kijamii
5. Kwa ulinzi na usalama wa nchi
6. Wafugaji na Wakulima
 
Hili jamaa bwana!! Hata akituua kumbuka kifo cha wengi ni....

Kuna mambo bora unyamaze kuliko kuongea alafu ukaharibu!
 
Mkuu, utawezaje kuhudumia chakula mifugo yako ikiwa hujui idadi yao?
 
Mkuu, utawezaje kuhudumia chakula mifugo yako ikiwa hujui idadi yao?

Sawa, lkn kwa nini mgeni avuke bahari zote aje “kukusaidia“ kuhesabu mifugo yako wewe mwenyewe?

1661428232269.jpeg
 
Huyo Bill kama maneno yangekua mishale angetoboka mwili mzima
 
Back
Top Bottom