Elimu yako Tafadhali?
Sensa ni muhimu.
Hamuwezi kuishi katika nchi msiyojua mpo wangapi?
Vijana na mabinti wangapi?
Wanaume na wanawake wangapi?
Rate ya kufa na kuzaliwa kwa miaka 10 inaendaje? Hii inasaidia ku-predict Future ya nchi Kwa miaka kadhaa itakuwaje!
Utegemezi wa watu ukoje? Yaani watoto na Wazee, Walemavu na makundi maalumu ni wangapi?
Population data ni muhimu Kwa watu wenye Akili tuu, Kwa watu wajinga wajinga kwao sio muhimu.
Ni muhimu Kwa makundi haya ya watu wenye akili
1. Wafanyabiashara
2. Watawala
3. Viongozi wa Dini
4. Watoa Huduma za kijamii
5. Kwa ulinzi na usalama wa nchi
6. Wafugaji na Wakulima