Sensa semina kesho tar 13 aug(dodoso fupi)

ansynshoba

Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
62
Reaction score
21
Baada ya kuairusha mpaka j4 tar 14 arafu ghafla kuaarisha mpaka tar 15 siku ya jumatano, Habari kutoka kwa watu wa dodoso refu wanasema wameambiwa wawatangazie watu wa dodoso refu kuwa wawah kesho asbh tar 13, kwasababu kesho ndo wataanza semina.

source: kutoka kwa mtu anayehudhuria semina za dodoso refu

Kumbuka huyu mtu ni wa kata ya ubungo so sina uhakika kuhusu watu wa kata zingine, plz ukipata taarifa hizi mtaarifu mwnzio
 
Mkuu upo serious au!mana wengne vi2o vya semina viko mbali sana,mana nadhan kwa taarifa hyo kata nyng za kinondoni itakuwa hvyo mana karibia wote 2lihairishiwa.Mkuu 2peane if ni true.
 
mbona habari inajieleza, kama wewe upo kata ya ubungo kesho nenda kwenye kituo cha seminar, kwa kata zingine sina uhakik, waulize wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…