mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
Karibu kila halmashauri zimeshatoa orodha ya majina ya watu watakao shiriki zoezi la kuhesabu watu lakini cha kushangaza wilaya ya Iramba mkoani Singida .hawajatoa majina mpaka sasa hivi kunanini hasa?? Wadau mtujuze